Shifaa Herbs Clinic

FOOT CARE

KSh 3,650.00

SABABU YA HARUFU MBAYA MIGUUNI (smelly feet)

Sababu hua ni JASHO LA MGUU ila jasho pekee huenda lisiwe na harufu kutegemeana na mwili wa mtu ila jasho linapo kutana na soksi ndani ya kiatu huleta unyevu unyevu ambao hupelekea ngozi kutoa cell za ngozi zilizo kufa na kutengeneza bacteria( Brevibacteria ) vijidudu vidogo vidogo (human microbiota) ambao huleta harufu mbaya ya miguu

Leo tumekuletea Bidha bora kwa wanaosumbuliwa na tatizo la kutoa harufu mbaya miguuni wengi ni wahanga wa tatizo hili na mara nyingi wamekuwa wakikosa bidhaa za kutatua changamoto hii ndio maana leo tutakuletea bidhaa muhimu sana za kutatua matatizo ya harufu mbaya miguuni au kupasuka miguuni

DAWA INATIBU
1-Huondoa harufu mbaya miguuni
2-Huondoa fungus kwenye miguu na vidole
3-Hupunguza jasho la miguuni na miguu kunukia vema hata wakati wa joto au siku ndefu
4-Dawa hii inatibu na kumaliza kabisa matatizo ya miguu au visigino kupasuka maganga au machacha(craked feet)

Category:

You cannot copy content of this page

Scroll to Top