ASTHMA SOLUTION
KSh 4,500.00
Pumu ni ugonjwa wa mapafu unaosababishwa na kuvimba na kusinyaa kwa njia za hewa, hivyo kupelekea shida katika kupumua. Ni hali ya kudumu na inaweza kuathiri watu wa umri wowote. Ingawa pumu inaweza kutokea katika umri wowote, watoto na vijana huathirika zaidi.
Watu wengi wamekuwa wakihangaika na kuteswa na pumu bila mafanikio yoyote
Ila shukrani kubwa kwa shifaa herbal clinic ambao wamefa utafiti kwa mda mrefu na kuja na dawa nzuri sana ambayo inatibu na kumaliza kabisa pumu
1-Dawa hii hufanya upumuaji wako kuwa wa starehe na siyo upumuaji wa kubana.
2-Huzuia vitu vinavyochochea pumu, na kuzuia kabisa mlipuko ya pumu.
3-Huboresha utendaji wa mapafu.
4-Hutuliza koo na kumaliza kabisa tatizo la kikohozi.
Huondoa uvimbe / inflammation katika mirija ya hewa.
5-Hupunguza uchovu wa misuli ya kupumua na huboresha utendakazi wa njia za hewa kwa muda mrefu sana.
6-Husaidia kuboresha mtiririko wa hewa na kudhibiti dalili kama vile maumivu ya kifua.
Dawa hii inaweza kutumiwa na mtu yeyote




