CACINEX
KSh 9,900.00
UGONJWA WA KANSA (SARATANI) – AINA, CHANZO, DALILI & TIBA
Saratani kansa ni aina za ugonjwa unaotokana na seli za mwili zinazoanza kujigawa yaani kukua bila utaratibu na bila mwisho.
JINSI YA KUEPUKANA KANSA
1-Fanya mazoezi Angalau dakika 30 kwa siku
2-Usile vyakula vyenye kemikali nyingi, mafuta mengi na sukari nyingi
Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol)
3-Balansi usito wako
Usitumie sigara
Punguza au acha kunywa pombe
4-Punguza mawazo
Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
5-Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9
TIBA YA MAGONJWA YA KANSA
Ugonjwa wa Kansa unatibika kwa hali tofauti, pia kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakikata tamaa na kuwa wabishi, hii hufanya wengi kufa kutokana na kuto kuwa makini na kile wanacho elezwa . Wakati huo wengi huendelea kutumia dawa pamoja na vitu vyenye kemikali na hii hufanya wengi kuendelea kuumwa zaidi.
CARCINEX
Kwa wanao teseka na saratani wasihofu kwani tunazo dawa nzuri sana za herbal ambazo zinaitwa cacinex
Dawa hizi zinatibu na kumaliza kabisa saratani ambapo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa
Dawa hiyo hutibu kwa mda kulingana na mda wa tatizo, ukianza kutumia baada ya wiki mbili hadi mwezi huonyesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendelea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa. Hizo dawa zinaondoa ugonjwa kabisa kama ukifuata maelekezo yanayotolea.
Wahi mapema





