Shifaa Herbs Clinic

CANDIDA FLUSH

KSh 4,200.00

TATIZO LA FANGASI MDOMONI NA TIBA YAKE. (ORAL THRUSH) ORAL CANDIDIASIS

• Ni maambukizi ya fangasi aina ya *candidas albicans* (C.Albicans) kwenye kuta laini za mdomo, fizi au ulimi

*DALILI ZA FANGASI MDOMONI*
1. Utando mweupe au wa njano kwenye ulimi, shavu kwa ndani, ufizi au mdomo
2. Malengelenge mekundu
3. Kuvuja damu kwenye fizi
4. Vidonda mdomoni
5. Mdomo kukauka na kupasuka
6. Mdomo kuwa na ladha mbaya, unapoteza ladha ya kitu unachokula
7.Harufu mdomoni

KWA WENYE TATIZO HILI WASIHOFU KWANI TUNAZO DAWA NZURI SANA AMBAZO ZINATIBU NA KUMALIZA KABISA MATATIZO HAYO

DAWA INATIBU
1-Maambukizi mdomoni
2-kubambuka ulimi au vidonda
3-vidonda mdomoni na utandu
4-inatibu matatizo ya vidonda kwenye midomo au kupasuka

Usiogope wala kuona aibu wahi tiba mapema uepukane na kero hii

Category:

You cannot copy content of this page

Scroll to Top