ESZEMA SPECIAL
KSh 5,900.00
Pumu ya ngozi (eczema) ni hali ya ngozi ambayo husababisha ngozi kuwa kavu, kuwasha, na wakati mwingine kupata vipele au kuchubuka. Hali hii mara nyingi husababishwa na mchanganyiko wa sababu za kijenetiki, mazingira, na mfumo wa kinga unaochochea mwitikio wa mzio.
TIBA YAKE
Kwa watu wenye changamoto ya pumu ya ngozi tumewaletea dawa nzuri sana ambazo zinatibu na kumaliza kabisa pumu ya ngozi (eczema) ambapo tunakupa full package ya dawa ya kunywa,sabuni ya kuogea ,na mafuta ya kupaka package hii haibahatishi hutibu na kuhakikisha ngozi yako inakuwa safi na yenye kungara
FAIDA ZAKE
1-Kuondoa ukavu wa ngozi
2-Kuondoa miwasho na ukurutu
3-Kuondoa wekundu kwenye ngozi
4-humaliza kabisa maumivu
Ni nzuri sana kwa mtu mwenye shida ya pumu ya ngozi na pia inasaidia kuondoa uchafu kwenye ngozi na ni nzuri kwa mtu mwenye allergy au mzio wa ngozi





