HYPER CARE
KSh 5,500.00
☑️-JE, UNAHANGAIKA NA KUTESEKA KUTOKANA
NA SHINIKIZO LA DAMU
HYPERTENSION….AU PRESHA?
📛-UNAZO DALILI HIZI?
maumivu ya kifua, shinikizo la damu kuongezeka, kukosa pumzi, maumivu makali ya kichwa, uchovu, kuchanganyikiwa, matatizo ya kuona, mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida na kukosa usingizi?
✳️-Kama ndio basi usihofu kwani tunayo dawa nzuri sana ambayo inaitwa HYPER-CARE dawa hii ya asili au herbal imesifika sana kwa ajili ya
1️⃣- kutibu aina zote za presha ( presha ya kupanda na presha ya kushuka)
2️⃣-Hurekebisha kiwango cha msukumo wa damu inayoingia na kutoka kwenye moyo, husawazisha mapigo ya moyo, husaidia kuyeyusha mafuta kwenye mishipa ya damu na kwenye moyo.
3️⃣-Husaidia kupumzika na kupanua mishipa ya damu na kupunguza shinikizo la damu kawaida.
4️⃣-Huhakikisha usafiri wa kawaida wa damu na mzunguko unao hitajika ki afya
5️⃣-Huboresha utendakazi na mzunguko wa damu unao hitajika na afya yako
6️⃣-Husawazisha na kuweka
cholesterol yako katika kiwango kinachofaa.






