Shifaa Herbs Clinic

LIPOMA SPECIAL

KSh 8,500.00

LIPOMA NA TIBA YAKE BILA UPASUAJI

Lipoma ni uvimbe unaotokea kutokana na kukua zaidi kwa seli mafuta ( fatty cells) na uvimbe huu huonekana ndani ya ngozi. Lipoma sio saratani na haiwezi kuwa saratani. Sehemu zinazo hathiriwa sana ni shingoni, kwenye mapaja, mikononi, kwenye makwapa, ila inaweza tokea sehemu yoyote ya mwili.

LIPOMA HUSABABISWA NA NINI?
Hakuna sababu maalumu
ila kwa tafiti zilizofanywa huonesha kuwa asilimia kubwa huwa ni urithi( heredity) kutoka kizazi hadi kizazi, pia kuumia kunakoweza kukusababishia uvimbe

DAWA ZA KUTIBU LIPOMA
Tuko na dawa mbili za asili ambazo zinauwezo wa kutibu na kumaliza kabisa uvimbe wa lipoma bila upasuaji

Dawa hizi hupenya mwilini na kuyeyusha na kufyonza tishu za mafuta zinazounda lipoma na kuwacha mwili wako ukiwa salama salmini pasina kufanyiwa upasuaji

Usikubali kuteseka tena njoo upate suluhisho la kudumu parmanent solution

Category:

You cannot copy content of this page

Scroll to Top