Shifaa Herbs Clinic

LUNG-TONIC

KSh 5,500.00

TIBA YA MAPAFU (LUNGS)

Mapafu ni miongoni mwa viungo muhimu sana kwa binadamu na kiumbe yoyote yule na ndio kiumbe muhimu katika mfumo mulzima wa upumuaji (human respiratory system au gaseous exchange) ambapo utakapofeli mfumo huu basi uhai wa kiumbe huyo hautakuwepo tena

LUNGS CARE

Hii ni dawa na suluhisho la matatizo ya mapafu dawa hii inatibu na kumaliza kabisa matatizo ya mapafu na pia Huimarisha utenda kazi katika upumuaji

FAIDA ZAKE

Dawa ya Kusafisha na kuboresha Mapafu ili uweze kupumua vizuri

2-Viambatanisho hivi vinapo penya mwilini kwenye mapafu kupitia mfumo wa upumuaji kupitia seli za damu, husaidia kutoa makohozi na mabaki yote ndani ya nusu saa kufungua njia ya hewa.

3- kusafisha na kuhuisha mapafu ya watu waliowahi kuvuta sigara au kuathiriwa na moshi

4-Dawa hii huondoa uvimbe wa ndani, kupambana na muwasho kooni, kupumua, kukuza ute wa maji kwenye mapafu, na kusaidia kunyonya phlegm au makohozi na takataka zote ziliyojengeka.

5-Huondoa Sumu zote kwenye mfumo wa hewa na kuua bacteria waliomo kwenye mfumo wa upumuaji

6-Hutibu na kumaliza kabisa Tatizo la mapafu kujaa maji au kuzizima Pasina upasuaji wowote

7-Dawq hii hutoa faida kubwa kwa wenye matatizo yote ya mfumo.wa hewa, gesi kooni, mapafu na makohozi sugu pamoja na mizio au allergy

Category:

You cannot copy content of this page

Scroll to Top