Shifaa Herbs Clinic

LIVER PREX

KSh 4,600.00

LIVER PREX

Dawa ya mitishamba maalum kwa ajili ya kutoa sumu kwenye Ini na mwilini.

Ini ndio kiungo kikubwa mwilini na chenye kazi zaidi ya mia Moja mwilini.
Ila kazi kubwa ya Ini ni kuchuja na kupunguza sumu mwilini kabla hata ya kuenea sehemu zingine kama kwenye Figo.

1-Inaimarisha utendakazi wa ini

2-Husafish na kuondoa sumu kwenye ini

3-Huondoa maumivu kwenye ini

4-Hutibu maambukizi kwenye ini

5-Ina rekebisha utendaji kazi wa nyongo na kutoa mawe ( gall stones).

Category:

You cannot copy content of this page

Scroll to Top