SPLEEN MAX
KSh 4,500.00
TIBA YA WENGU/BANDAMA (SPLEEN)
🔸-Kazi ya wengu ni kuchuja damu, na kuusaidia mwili kupambana na maambukizi.
☑️-FAIDA ZAKE
Kiungo hiki cha bandama au kwa kitaalam spleen hufanya kazi nyingi kwenye mwili wa binadamu ikiwemo; kusaidia kuimarisha kinga yako ya mwili pamoja na kupambana na magonjwa, kutoa chembechembe nyekundu za damu ambazo hazina kazi.
💥-TIBA YAKE
Kwa wenye matatizo ya bandama wanasababu ya kutabasamu kwani
✅-SPLEEN MAX ni dawa mujarab kabisa ambayo Imethibishwa kwa kutibu na kutatua matatizo sugu ya bandama kama:
1️⃣-kuimarisha utendakazi wa bandama
2️⃣-husafisha mfumo mzima wa bandama
3️⃣-Huondoa na kumaliza kabisa uvimbe kwenye bandama
4️⃣-Hutibu maumivu ambayo yanatokana na wengu
5️⃣-Hutibu kabisa maambukizi ambayo husababisha usumbufu kwenye wengu
6️⃣-Dawa hii inatibu tatizo la kuvimba au kufura kwa bandama (splenomegaly) bila upasuaji wowote




