Shifaa Herbs Clinic

VITILIGO SOLUTION

KSh 1.00

UGONJWA WA VITILIGO NA TIBA YAKE

Vitiligo ni ugonjwa unaomfanya mtu apoteze rangi ya ngozi na kusababisha awe na mabaka mwilini mwake.
Inaweza kutokea kwenye nywele na hata ndani ya mdomo.

CHANZO CHA VITILIGO
Vitiligo hutokea wakati seli za kutengeneza rangi (melanocytes) zinapokufa au zinapoacha kufanya kazi ya kuzalisha melanin – pigmenti inayoipa ngozi yako, nywele na macho rangi.

Baada ya utafiti wa mda mrefu imethibitika kuwa Africa ni eneo lililobarikiwa sana na miti asili ambayo imekuwepe tangia enzi za mababu na miti hii imekuwa ikitumiwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine

1-Utafiti mwingine umeonyesha kuwa alpha-lipoic acid (inayopatikana ndani ya yeast, maini, figo, spinachi, broccoli na viazi), folic acid, vitamin C na vitamin B-12 pamoja na phototherapy vinaweza kurudisha rangi ya mtu mwenye vitiligo kwa asilimia 100%

2-Tuko na dawa nzuri sana za asili au herbal ambazo hutibu na kuhakikisha kuwa inaimarisha seli mwilini ili malanin iongezeke mwilini na rangi rangi yako irudi kama mwanzo

3-Tiba ya vitiligo inaweza kurudisha rangi ya ngozi iliyoharibiwa.

4-Dawa hii huzuia ugonjwa kwenea au kusambaa

5-Ina punguza na kumaliza kabisa muwasho

6-Dawa hii hurudisha rangi ya ngozi ilio haribiwa na kuregesha ilivyokuwa

Dawa hii ni asilia na haina madhara yeyote kwa mtumiaji

Category:

You cannot copy content of this page

Scroll to Top