ZAREX HAIR GROWTH OIL
KSh 2,500.00
NJOO UJIPATIE BIDHAA BORA ZINAZOKUZA NA KUREFUSHA NYWELE KWA WIKI HARAKA.
MAFUTA YA ZAREX HAIR GROWTH OIL
Ni mafuta asili ambayo yametengenezwa bila kemikali ya aina yeyote kwa ajili ya kuleta suluhisho la haraka na lenye kudumu kwa wenye changamoto za nywele
Mafuta haya huchochea ukuaji wa nywele na uboreshaji wa nywele yako, kwanzia siku 7 pekee
1️⃣-Kwanza mafuta haya huleta harufu nzuri kwenye nywele na yenye kuvutia
2️⃣-Hulainisha ngozi na kuondoa mba na miwasho kichwani
3️⃣-Husaidia kuotesha nywele kwa hasa kwa wenye kipara
4️⃣-Huregesha rangi halisi ya nywele na yenye kungaa
5️⃣-Hukuza na kurefusha nywele hata kwa wenye nywele ngumu
6️⃣-Hulainisha nywele kwa wale wenye nywele ngumu na wanaopata maumivu wakati wa kuchana
7️⃣-💥mafuta haya ni zaidi ya tiba mchanganyiko wote huo utafanya nywele zako ziwe za kupendeza wakati wote




