Shifaa
SONATA
KSh 3,650.00
📚-DAWA YA SONATA
✴️-MANUFAA NA FAIDA ZAKE:
1️⃣-Huleta na kuboresha usingizi
2️⃣-hurekebisha matatizo ya usingizi kama vile kukosa usingizi,ndoto zisumbuazo usingizini
3️⃣-Hutuliza mfumo wa neva
✅-HUWAFAA:
1-Watu wenye matatizo ya usingizi
2-Watu wenye usingizi dhaifu,
3-Watu wenye hofu,msongo,uchovu endelevu na mfadhaiko
❎-Dawa hii ni herbal na haina madhara yeyote
✅-INA FAA KUTUMIKA KWA WATU WOTE




