BADEX
KSh 3,900.00
SEMA KWA HERI KWA MAUMIVU YA MGONGO NA KIUNO KWA SIKU 30 PEKEE
Tuko na dawa nzuri sana ambazo zinatibu na kumaliza kabisa matatizo hayo ambapo tunakupa dawa aina mbili moja ya kunywa na nyingine ya kupaka unatumia kila siku asubuhi na jioni kwa mwezi mzima na utapona kabisa
DAWA YA BADEX NA TIFA OIL
Dawa hii za asili imetengenezwa maalum ili kulenga na kumaliza kabisa maumivu ya mgongo, kuanzia kwenye shingo,mgongo uti wa mgongo na kiuno
1- Dawa hizi unapoanza kuzitumia huanza kwa kuimarisha nerves ili kuipa uimara mishipa na misuli yenye ulegevu
2-hukupa suluhisho la kudumu na la uhakika kwa kuondoa maumivu yalio kusumbua kwa mda mrefu
3- zina zalisha synovial fluid kwenye maungio au (joints) kwa wenye kuhisi kelele kwenye mifupa
4-Huzuia kusagika au kulika kwa mifupa kwenye joints kwa kuzalisha (articulate cartilage)
5-Huimarisha na huunga haraka mifupa iliyo vunjika au kulika
@-Kama unatumia bidhaa hizi basi mifupa yako itakuwa imara na yenye afya







