- All Posts

Typhoid au homa ya ni matumbo ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria anayeitwa salmonella Typhi. Ugonjwa huu huambukizwa kwa kupitia kula...

Homa ya INI ni ugonjwa unaotokana na uvimbe katika seli hai za ini. Homa ya Ini ni ugonjwa unaoambukizwa kwa...
Ngiri ya kinena hufahamika kwa Kiingereza kama Inguinal Hernia. Ngiri katika eneo la kinena hutokea pale utumbo hujitokeza kwenye uwazi...

Leo tuzungumzie tatizo linalowasumbua na kutesa wanawake wengi, tatizo la kutokwa na uchafu unaotoa harufu mbaya sehemu za siri. Kitaalamu...

Hili ni tatizo ambalo kitaalamu huitwa tinnitus. Mtu husikia mivumo ndani ya sikio au sauti za kengele kwenye sikio wakati...

H. pylori ni kifupi na Helicobacter pylori ni aina ya bacteria ambayo huingia kwenye mwili na kujificha ndani ya mfumo...