Shifaa Herbs Clinic

AFYA TOTO

KSh 4,650.00

AFYA TOTO

Ni dawa ilio tengenezwa katika mfumo wa unga ndani yake kuna mchanganyiko wa madawa asilia yenye kusaidia na kutibu changa moto za kiafya za watoto

1-Humpa mtoto hamu ya kula
2-Husaidia kuimarisha ukuaji wa mifupa na ubongo
3-Huimarisha macho ya watoto
4-Huwapa watoto ambao viungo vyao vimekakamaa au kulegea sana isivyo ɓbkawaida (Spasm)
5-huimarisha kinga ya mwili ili mtoto aweze kupambana na maradhi (immunity booster)
6.Husaidia watoto ambao ukuaji wao sio Mzuri, hawakui kama kawaida

NOTE: Ni bidhaa Bora ya Herbal na haina kemikali wala Madhara yoyote kwa watoto

HUTUMIWA NA WATOTO WADOGO NA WAKUBWA

Category:

You cannot copy content of this page

Scroll to Top