LALA SALAMA
KSh 3,550.00
KIKOJOZI HERBAL MIXTURE.
Dawa hii hutibu maradhi yatokanayo na udhaifu wa kibofu cha mkojo ambao humfanya mhusika kutokwa na mkojo bila ya hiari yake mwenyewe. Mtu anaweza kukojoa kitandani akiwa usingizini au mtu anaweza kutokwa na mkojo akiwa macho. Na kuna watu wengine hutokwa na matone madogo madogo ya mkojo hata wakiwa macho.
Dawa ya kutibu maradhi ya kukojoa kitandani (KIKOJOZI)🔥
✔️ Kutibu maradhi ya kukojoa kitandani bila kukusudia
✔️ Kutibu maradhi ya kibofu Cha mkojo kama kimeregea
✔️ Kutibu maradhi ya mishipa ya kupitisha mikojo kama imeregea
✔️ Hutibu ndoto za kuota ukiwa unakojoa na ukakojoa kweli kitandani
✔️ Hutibu kukojoa mara kwa mara kwa watu wazima washindwao kujizuia na mkojo kutoka bila mawasiliano





