MUJARAB EXTRA
KSh 3,700.00
MUJARAB EXTRA
Je, umejaribu kutibu maradhi au maambukizi ya zinaa Bila mafanikio ?
JE umetumia dawa kwa mda mrefu ila bado ugonjwa hauishi kila kukicha hali ipo vile vile ?
Je! Unataka kupata suluhisho la kudumu ambalo litaondoa chanzo cha maambukizo yako?
1-Fichua nguvu iliyofichwa ndani ya dawa ya mujarab extra. Dawa safi kabisa ambayo huponya na Kuondoa Magonjwa ya Zinaa kwa muda wa siku 30 pekee.
2-Inakupa nafuu ya kudumu kutokana na dalili zote za magonjwa ya zinaa kama vile maumivu, kuvimba, kuwashwa na kutokwa na uchafu.
3-Dawa hii pia inajulikana sana kwa kuongeza kinga ya mwili na kuimarisha ulinzi wa mwili dhidi ya magonjwa ya zinaa na kukuza afya kwa ujumla.
Usiteseke kimya kimya
njoo upate mujarab extra uepukane na kero hii





