SKIN SOLUTION
KSh 3,450.00
SKIN SOLUTION
Hii ni dawa ya kunywa na yenye ku saidia kusafisha taka taka zote kwenye ngozi, inang’arisha na kuondoa chunusi mapunye na mabaka
inafanya kazi kwa kupenya ndani ya ngozi na kusafisha mafuta ya ziada na kuondoa seli za ngozi zilizokufa pia husaidia kuzuia kuzuka kwa chunusi na kupunguza kuonekana kwa pores (mashimo)
Daw hii pia inaviambatanisho vinavyosaidia kulainisha ngozi na kung’arisha ngozi vizuri.
FAIDA ZAIDI
1-inaondoa chunusi na makovu
2-inalainisha ngozi na kufanya ivutie
3-inang’arisha ngozi na kuondoa michirizi
4-inaondoa mikunjo na kuondoa utango tango kwenye ngozi
5-husafisha matundu ya ngozi na kufanya ngozi kuwa na unyevu
6-hutumika kutibu wenye allergy ya ngozi
ZINGATIA
Kumbuka kuwa ngozi nzuri inajenga kujiamini kwa hio ni muhimu kuchagua bidhaa zinazosaidia ngozi yako kuwa katika hali bora




