Shifaa
AFYA PLUS
KSh 3,750.00
Je umekosa hamu ya kula na kudhoofika mwili?
Kama ndio basi usihofu kwani katika kituo chetu cha shifaa tunazo dawa nzuri sana ambazo
1-Vinavichocheo bora vya kuongeza hamu ya kula kwa kutumia viambato asilia vilivyo thibitishwa kusaidia kuibua njaa na kula chakula bila kipingamizi chochote
2-Dawa hii husaidia kuongeza uzito kwa haraka
3- Husaidia kuimarisha mwili wako na kuuweka katika hali bora zaidi
4-Huupa mwili uchangamfu unaofaa
5-Huupa mwili nguvu za kupambana na maradhi (immunity booster)
Dawa hii hufanya Kazi Vizuri kwa Wanawake Wanaume Watoto na wazee au wagonjwa dhaifu





