NIMONIA SOLUTION
KSh 3,770.00
🔰-NIMONIA SOLUTION
🔶-homa ya mapafu (Pneumonia)
ni maambukizi katika viriba ya hewa katika pafu moja au mapafu yote. Viriba hivi vya hewa huweza kujaa maji au usaha na kusababisha mgonjwa kukohoa, homa kali na kupumua kwa shida.
✅-Habari nzuri tulionayo kwako ni Kuwa tunayo dawa nzuri sana ya asili (herbal )Ambayo huimalisha mfumo wa Kinga hasa kwenye Mapafu na kulahisisha utendaji mzuri wa Mapafu yako .
🔆-NIMONIA SOLUTION hufanya kazi kubwa ya kuimarisha ulinzi kwenye Mapafu yako na kuhakikisha kuwa Inatibu na kumaliza kabisa nimonia
1️⃣-Dawa hii hufanya upumuaji wako kuwa wa starehe na siyo upumuaji wa kubana.
2️⃣-Huzuia vitu vinavyochochea nimonia na kuzuia kabisa mlipuko ya nimonia
3️⃣-Huboresha utendaji wa mapafu.
4️⃣-Hutuliza koo na kumaliza kabisa tatizo la kikohozi.
5️⃣-Huondoa uvimbe / inflammation katika mirija ya hewa.
6️⃣-Hupunguza uchovu wa misuli ya kupumua na huboresha utendakazi wa njia za hewa kwa muda mrefu sana.
7️⃣-Husaidia kuboresha mtiririko wa hewa na kudhibiti dalili kama vile maumivu ya kifua.




