FAHAMU UGONJWA WA TYPHOID, DALILI NA TIBA YAKE
Typhoid au homa ya ni matumbo ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria anayeitwa salmonella Typhi. Ugonjwa huu huambukizwa kwa kupitia kula chakula kilichopata bakteria (salmonella typhi) kutoka katika kinyesi cha mtu aliyepata maambukizi ya homa ya matumbo. hata kwa maji ni hvyo hvyo. DALILI ZA TYPHOID 1.Homa kali 2.Kutokwa kwa jasho jingi 3.Kuharisha (Bila ya kutoa damu) 4.Muda mwingine vipele vyekundu huonekana kwenye mwili. Kwa kawaida homa ya matumbo isipotibiwa hugawanyika katika hatua nne, kila hatua ikichukua takribani wiki moja. Katika wiki ya kwanza 1.Joto la mwili kuongezeka. 2.Kichwa kuuma. 3.Kukohoa. 4.Damu kutoka Kwanzaa pua ingawa tukio hili huwa ni kwa nadra sana. 5.Maumivu ya tumbo pia huweza kutokea katika wiki ya pili 6.Homa huongezeka. 7.Mgonjwa huanza kupagawa kama mwenda wazimu. 8.Vipele vyekundu kuanza kutokea kwenye kifua. 9.Mgonjwa huarisha takribani mara sita au nne kwa siku. 10.Kutapika kwa mgonjwa. Ini la Mgonjwa kuanza kuvimba. 11.Homa ya mgonjwa huongezeka katika wakati wa alasiri kwenye wiki ya kwanza na ya pili. Wiki ya pili 1.Matumbo hutoa damu 2.Matumbo hutoboka Wiki ya tatu ikimalizika, homa huanza kutulia hii huendelea hadi wiki ya nne. TIBA YA TYPHOID hushauriwi kununua dawa na kutumia dawa kabla ya kujua unasumbuliwa na ugonjwa gani. Hivyo ukiona dalili nenda maabara kapime kwanza. Mara nyingi Homa ya matumbo haina madhara makubwa pale ukiwahi kupata tiba kwa haraka. jitahidi kuwahi hospitali mapema pindi unapo pata dalili hizi ili kuepukana na madhara makubwa ya ugonjwa huu ambao husababisha vifo vya mamilioni KINGA YA HOMA YA MATUMBO. usafi wa mazingira na usafi wako binafsi mwenyewe,, Nawa mikono baada kutoka chooni Nawa mikono kabla hujala na baada ya kula. Osha tunda kabla hujala. Usile chochote kabla hujakiosha. LIKE PAGE HII ili kuendelea kupata nakala mbalimbali za Afya pia share ujumbe huu ili kuwafikia wengi. KWA TIBA NA USHAURI WASILIANA NASI KWA +254721836774 DR ISMAIL All reactions: 55




