Shifaa Herbs Clinic

BADEX

KSh 3,770.00

 

Sema Kwa heri kwa Maumivu ya Mgongo na kiuno

DAWA YA BADEX

Dawa hii ya asili imetengenezwa maalum ili kulenga na kumaliza kabisa maumivu ya mgongo, kuanzia kwenye shingo,mgongo uti wa mgongo na kiuno

1- Dawa hii unapoanza kuitumia huanza kwa kuimarisha nerves ili kuipa uimara mishipa na misuli yenye ulegevu

2-hukupa suluhisho la kudumu na la uhakika kwa kuondoa maumivu yalio kusumbua kwa mda mrefu

3- ina zalisha synovial fluid kwenye maungio au (joints) kwa wenye kuhisi kelele kwenye mifupa

4-Huzuia kusagika au kulika kwa mifupa kwenye joints kwa kuzalisha (articulate cartilage)

5-Huimarisha na huunga haraka mifupa iliyo vunjika au kulika

6-Dawa hii ina madini ya calcium na zink ambayo Huimarisha mifupa

@-Kama unatumia bidhaa hii basi mifupa yako itakuwa imara na yenye afya

 

Category:
0
    0
    Your Cart
    Your cart is emptyReturn to Shop
    Scroll to Top