Shifaa Herbs Clinic

LA – STROKE SOLUTION

KSh 6,650.00

“LA STROKE SOLUTION”

✅-DAWA HII HUTIBU NA KUMALIZA KABISA UGONJWA WA KIHARUSI

⚠️-Leo ninataka kukuonesha ndugu msomaji kuwa ugonjwa wa kiharusi (stroke), ni tatizo linaloweza kupata ufumbuzi kupitia bidhaa za shifaa clinic.

♻️- Lakini ikumbukwe kuwa ugonjwa wa kiharusi una aina kuu tatu,na dawa zetu zinaweza kufanya kazi vizuri kwa kutibu aina zote tatu ambazo ni Ischemic na Transient Ischemic stroke.

🆎- Hapa mtu hupata kiharusi kutokana na kuziba mishipa ya damu pale damu inapoganda na kutengeneza bonge (plaque) linalozuia damu kupita.

1-Huboresha utengenezwaji wa nishati kwenye seli za mwili,hususani seli za misuli ya moyo (Myocardial cells) na seli za neva

2-Huboresha kinga na kuimarisha viungo vilivyo pooza

3-Huzuia na kuondoa magonjwa ya ubongo na moyo

4-Huboresha stamina na uimara wa mwili kwa ujumla

5-Hupunguza kiwango cha mafuta (lipid)kama vile cholestrol na Triglycerides yanayozunguka kwenye damu

6-Hupunguza mrundikano wa chembe za damu (platelet aggregation);huzuia kuganda kwingi kwa damu

7-Hutanua na kutuliza mishipa ya ateri;huzuia ateri kuvimba

8-Hufanya damu kuwa nyembamba na kupunguza kiwango cha cholesterol (lehemu)

9-Hulinda mifumo ya moyo na ubongo kutokana na tabia yake ya kushusha presha

10-Huimarisha mfumo wa neva na kuboresha ubongo

11-Huongeza utengenezwaji wa nishati kutokana na mafuta kwa kasi na kusaidia kupambana na maradhi

🆎-Dawa hii husaidia kufungua mishipa ya damu iliyoziba na kuondoa damu ilioganda na kuzuia damu isitembee vizuri.

Kama wewe au unaye ndugu aliyepooza,usisite kupata msaada kupitia dawa hii ya LA STROKE SOLUTION 🌴-KUMBUKA KUWA DAWA HII NI YA HERBAL NA HAINA MADHARA YEYOTE

Category:
0
    0
    Your Cart
    Your cart is emptyReturn to Shop
    Scroll to Top