REMOVER
KSh 3,750.00
NAMNA YA UTUNZAJI SAHIHI WA WA KWAPA
Utunzaji wa ngozi katika eneo la kwapa…
Nadhani kila mtu atakubaliana na mimi kwamba kwapa ni moja ya sehemu tata sana na inaweza kukuaibisha kweli kweli
✍️MATATIZO YANAYOSHAMBULIA NGOZI YA KWAPA
1⃣ HARUFU KALI
Hii husababishwa na uchafu unaolundikana katika eneo hilo ukiwa na ngozi iliyokufa(deadskin) pamoja na jasho.
✍️KWAPA KUWA JEUSI.
Hii ni matokeo ya kutokunyoa nywele za makwapa kwa usahihi au kutumia deodorant roll on(zile za kupaka makwapa) ambazo sio salama.
NJIA SAHIHI ZA KUTUNZA NGOZI YA KWAPA
Kama unalo kwapa Jeusi au unatoa harufu kali kwapani?
basi usihofu kwani tunazo bidha za asili ambazo zinangarisha kwapa na kukupa mwonekano wenye kuvutia
Bidhaa zetu hazina kemikali yeyote




