MORINGA POWDER
KSh 2,500.00
MORINGA /MLONGE /MZUNGI
Inaweza kutumika kwa ajili ya upishi na dawa. Mbegu hizi ni chakula ila zinapaswa kutafunwa, badala ya kuzimeza nzima nzima, pia ni muhimiu zikapikwa au kukaushwa kabla ya kuliwa, badala ya kula mbichi.
UMUHIMU KATIKA LISHE Mbegu za Moringa ni chanzo kikubwa cha Madini chuma, Potasiamu, Vitamini A, Vitamini C, Calcium, Amino asidi, na Nyuzi za chakula/Fibers.
FAIDA ZAKE KIUNDANI
A-Huongeza mfumo wa kinga ya mwili.
B-Hupunguza shinikizo la damu.
C-Kurahisisha upatikanaji wa usingizi, na
D-Kuongeza afya ya ngozi, nywele na mifupa.
MAELEZO KWA KINA.
1-Huongeza mfumo wa kinga ya mwili. Uchunguzi umegundua kwamba mbegu hizi zina tabia za kinga dhidi ya vimelea na virusi, kutokana na mkusanyiko wao mkubwa wa vitamini C, pamoja na viuasumu mbalimbali ambavyo kiujumla vinaimarisha kinga ya mwili.
2-Kupungua uzito kwa sababu ya kiwango kikubwa cha nyuzi chakula/ Fiber, hizi zitasaidia kushibisha, na hivyo kupunguza tamaa ya kula isiyo rasmi.
3 -Msaada wa Kulala. Ripoti zinaonyesha kwamba watu ambao huloweka mbegu za mronge kwenye maji kwa muda wa dakika 15 na kisha kunywa maji hayo, wanalala usingizi mnono zaidi, na hujisikia imara zaidi asubuhi.
4-Kudhibiti Kisukari. Kwa kuwa kuna zinki nyingi katika mbegu hizi, zinajulikana kusaidia kusaidia kudhibiti viwango vya sukari na kupunguza hatari yako ya ugonjwa wa kisukari.
5-Shinikizo la damu. Potasiamu hupatikana katika kiwango kikubwa ndani ya mronge, ambayo hutanua mishipa (vasodilation) na hivyo kupunguza matatizo kwenye mfumo mzima wa moyo. Utunzaji wa Nywele & Utunzaji wa Ngozi. Polyphenols, flavonoids, (Aina za kemikali) na madini mbalimbali zinazoweza kusaidia kuongeza afya ya ngozi, pamoja na nguvu na kudumu kwa nywele.
6-Kudhibiti upungufu wa damu/ Anaemia. Kutokana na viwango vikubwa vya chuma, mbegu hizi zina uwezo wa kuongeza mzunguko wa damu na kuzuia dalili za anemia.
7-Kuongeza Nishati. Ikiwa unahitaji kuzalisha nishati zaidi mwilini, mronge unasifika kuwa na kiwango bora cha wanga na protini.
FAIDA ZINGINE
A-Kutokana na kiwango kikubwa cha vidhibiti vya vimelea kama bacteria/ fangasi na pia uwezo wa kudhibiti kuzeeka. Mbegu za mronge zinaweza kuukinga mwili.
B-Kudhibiti kiwango cha cholesterol.
C-Kudhibiti ufanyaji kazi wa mishipa ya uzazi kwa wanaume.
D-Kuimarisha afya ya moyo, ubongo, ini, na macho.
E-Kudhibiti vidonda vya tumbo na maumivu pamoja na kuboresha mmeng’enyo wa chakula.
F-Hudhibiti afya ya mifupa.
G-Hudhibiti magonjwa yanayosababishwa na kufeli kwa neva. H-Hudhibiti presha.
WASUBIRI NINI KUPATA FAIDA HIZI ? njoo upate yako





