ALLER-TEK
KSh 3,500.00
ALLER -TEK
Dawa hii imetengenezwa kwa mitishamba yenye ubora wa juu zaidi na kutolewa kwa mchakato safi kabisa kwa ajili ya kutibu na kuondoa kabisa mzio au allergy
1-huimarisha mfumo wako wa kinga dhidi ya mzio wa misimu yote.
2-Huondoa kabisa homa za mara kwa mara kupiga chafya au kuchimua wakati wa baridi au ukiwa Karibu na moshi
3-Dawa itakusaidia pia kuboresha mfumo wa upumuaji na kukufanya kuwa na kinga imara.
4-dawa hii hupambana na kumaliza kabisa muwasho, chafya, upele, na matatizo ya ngozi kufura au kuwa na malenge lenge
5-Inaweza kutumika baada ya kuumwa na mdudu, mzio wa kawaida au kutokana na chakula, au homa ya mzio chafya ambazo zinambatana na kutokwa na machozi na kamasi kutokana na kuwepo mvua au baridi kali
@-Dawa hii imeundwa kwa viambato vyote asilia visivyo kuwa na madhara kwa watoto wadogo




