Shifaa Herbs Clinic

BRAIN BOOSTER

KSh 2,500.00

“BRAIN BOOSTER ”

🚸-Kama unapitia wakati mgumu wa kutokuwa na kumbukumbu na kujaribu kuhifadhi mambo mbali mbali bila mafanikio basi usihangaike tena,kwani tunayo dawa nzuri sana ambayo imesaidia wanafunzi wengi na wasio kuwa wanafunzi wake kwa waume.

❌-Usikubali kuteseka kwani shifaa clinic tunayo dawa nzuri sana ambayo ina uwezo wa kuboresha na kuimarisha kumbukumbu zako:

✍️-FAIDA NA MANUFAA YA DAWA HII
1-huimarisha mfumo wa neva na kuboresha ubongo
2-Huongeza kiwango cha oxygen kwenye ubongo na hivyo huboresha kumbukumbu 3-Hupunguza kasi ya kuzeeka kwa misuli na kuondoa kabisa tatizo la kusahau sahau
4-Huimarisha mishipa ya fahamu
5-Huongeza uchangamfu kwa wanafunzi
6-Huzuia kudhoofika kwa utendaji kazi wa ubongo na moyo

🌳-Dawa hii ni 100% herbal na haina yeyote

👨‍👩‍👦‍👦-DAWA HII INAWEZA KUTUMIWA NA WATU WA RIKA ZOTE WATOTO NA WATU WAZIMA

Category:
1
    1
    Your Cart
    DIA - CARE
    DIA - CARE
    1 X KSh 5,500.00 = KSh 5,500.00
    Scroll to Top