Shifaa Herbs Clinic

KELELE KWENYE MASIKIO

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus)

Tinnitus, ni Tatizo la masikio kupiga kelele, mtu husikia sauti za makelele au kitu kinaita(ringing) ndani ya sikio moja au yote mawili na sauti hizo hazitoki nje na wala hakuna mtu mwingine anazisikia zaidi ya mhusika mwenyewe.

Kama wewe umeteseka kwa mda mrefu bila tiba basi usihofu kwani tatizo hili linatibika.

Tunazo dawa nzuri sana ambazo zinatibu na kumaliza kabisa matatizo hayo kwa siku 30pekee ambapo tunakupa dawa aina mbili moja ya kunywa na nyingine ya kuweka ndani ya sikio.

Dawa hizi unatumia kila siku asubuhi na jioni kwa mwezi mzima na utapona kabisa

ZINATIBU

1-“Dawa hizi huondoa na kutibu shida ya usikivu, hutibu sauti za sikio, kuunguruma au kukoroma kwa sikio, hali ya sikio kuvuma na sauti za kujirudia ndani ya sikio.

2-zinaimarisha mishipa ya kusikia, husaidia katika ufufuo wa neva za masikio.

3-Husaidia kuzuia kuzorota kwa seli za vinyoleo vya masikio zinazohusika na sauti ya kusikiliza ya masafa tofauti.

4-Ni dawa ya mitishamba yenye uwezo wa kustawisha mishipa ya sikio na husaidia kuongeza masafa ya sauti.

5-Inafaa kwa watu waliopoteza uwezo wa kusikia kutokana na shida mbalimbali.

6-Husaidia kulainisha na kuondoa safu nene ya nta kwenye sikio. Inaboresha uwezo wa kusikia kwa kiasi kikubwa.

Usikubali kuteseka njoo upate tiba na utapona kwa uwezo wa Mwenyezi mungu

Category:
1
    1
    Your Cart
    MUJARAB EXTRA
    MUJARAB EXTRA
    1 X KSh 3,700.00 = KSh 3,700.00
    Scroll to Top